Wabunge wawili wa Chadema waachiwa kwa dhamana mahakama ya Kisutu.

abunge wawili Mh.Halima Mdee wa Kawe na h.Mwita Waitara wa Ukonga wamepandishwa atika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini ar es Salaam wakikabiliwa na kosa la umjeruhi mwili katibu tawala wa mkoa wa Dar s Salaaam Bi.Theresia Mbando katikia ukumbi a Karimjee.
atumihiwa hao walipandiswa mbele ya hakimu kazi Huruma Shaidi ambapo wakili wa serikali wamni Kombakono aliiambi mahakma kupitia ati ya mashtaka kuwa tarehe  27/02.2016 atika ukumbi wa Karimjee watuhumiwa haoa akiwa na wenzao wengine awali akiwemo iwani wa kata ya Saranga walimjeruhi mama uyo.
aada ya kusomwa kwa hati  hiyo mahakama iambi wa kuwa upelelezi haujakamilika mbapo jopo la mawakili wanaowatetea ashtakiwa hao likiongozwa na wakili Peter ibatala wakaiomba mahakama kuwapatia ateja wake dhama ambapo Mh.Hakimu likubali na kuwapa dhamana ya kujidhamini enyewe  kwa bondi ya shilingi milioni mbili kila moja.kesi hiyo itakuj tena March 16.
atika hatua nyingine mahakama kuu kanda ya ar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kupinga
bunge wa jimbo la mafia babada ya mahaka
iyo kuona walalamikaji hao hawana sifa ya ulalamikia ushindi kwa sababu siyo wagombea mbapo mbunge wa Mafia Mh. Ramadhni Dau mesema haki imetendeka.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post