erikali imesema itawashughulikia watendaji ake watakaozitumia vibaya fedha za miradi ya arabara na imeahidi kutengeneza kwa kiwango ha lami barabara ya Mbinga-Nyasa na ikuyufusi-Mkenda mpakani mwa Tanzania na sumbiji ndani ya miaka mitatu.
auli hiyo ya serikali imtolewa na naibu waziri a ujenzi,uchukuzi na mawasiliano mhandisi dwin Ngonyani ambaye yuko katika ziara ya iku tatu mkoani Ruvuma ambapo amekagua arabara ya Likuyufusi-Mkenda mpakani mwa
a Tanzania na Msumbiji na ya Mbinga na yasa ambazo zinatarajiwa kujengwa kiwango ha lami ndani ya miaka mitatu.
wa upande wake mkurugenzi mtendaji wa almashauri ya wilaya ya Nyasa Bw.Jabir hekimweri amesema kuwa radio za hapa nchii azisikiki na badala yake zimekuwa zikisikika adio za Malawi na Msumbiji.
wa upande wao wananchi wameeleza adha anayoipata baada ya daraja la Ruhekei kutitia a kuweka ufa hivyo serikali kuamua kuzuia agari kupita.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon