jinsi ya kuingiza window 7,8,10 kwenye flash au jinsi ya kutengeneza bootable usb pendrive bila ya kutumia power iso
1)weka flash yako kwanza
2)fungua star bar kisha click kwenye run na uwandike maneno aya CMD
3) ikifunguka kuna maneno yatatokea mwisho ya ayo maneno utaandika ivi DISK PART
4)Apo comand iyo itakupeleka hadi kwenye disk mananger utility
5)Baanda ya apo andika DiSK PART then click enter baada ya apo itakuonyesha disk zote zilizomo kwenye pc yako zikiwa iv 0,1,2,
6) Baada ya apo angalia vizuri namba ya flash yako kwa mara nyingi namba ya flash inakuwaga ya mwisho au katikati katka command iyo
7)baada ya kujua namba ya flash yako andika ivi SELECT DISK then utamalizia na namba yako ya flash kama 2au3 utaweka kwa mbele kama iv SELECT DISK 2 Then click enter
8)sasa ni kuijandaa flash yako kwa ajili ya kuwa bootable flash
9)Baada ya apo andika CLEAN kisha click enter utapokea ujumbe kama socefully
10)Andika SELECT PATION 1 utapokea ujumbe pation is now selected
11) kisha andika FORMAT FS=avick utapokea 100% complete
12)mwisho utaandika EXT kisha click enter hadi apo utakuwa ushaifanya flash yako kuwa bootable
13)kilicho baki ni kucopy fili za window 7au 8 au 10 na kuwa kwenye pendrive (flash)
14)ingiza cd ya window kisha fungua folder ya iyo window la kwanza kama window 7 setup file hapo file utaziona naic zipi kama 7
15)copy ilo file kisha pest kwenye flash yako baada ya apo utaweza kujalibu katika pc yako kwa kurestart kisha badilisha setting yako ya bios ili iweze kuboot kwenye flash
Nyongeza ikiwa aitoki boot bas utakuwa umekosea rudia tena maelezo
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon