aziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa siku kumi wa watumishi wote wa halimashauri ya wilaya a Busega akiwemo mkurugenzi wa alimashauri hiyo Hamisi Yuna wanaoishi ilayani Magu kuhakikisha wanahamia wilayani apo ifikapo march kumi na tano mwezi huu.
aziri mkuu ametoa agizo hilo alipokuwa kiwahubia wananchi wa kijiji cha Lamadi
atika mkutano wa hadhara uliofanyika katika itongoji cha Kisesa.
atika hatua nyingine waziri mkuu amewaonya azazi wote katika wilaya hiyo watakothubutu uwaachisha masomo kwa lengo la uwaozesha waache mara moja kwani takayebainika katika uongozi huu wa awamu a tano atakiona cha moto.
wali mbunge wa viti maalumu mkoa wa Simiyu ster Midimu amemuomba waziri mkuu umukumbisha rais magufuri ahadi yake liyotoa ya kila kata kupewa shilingi milion amsini ili wananchi waweze kujinasua kwa uanzisha miradi.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon