Mkuu wa ujumbe wa AU,
Sophia Okofor wataka waganda kudumisha
amani,kuwa watulivu baada ya uchaguzi.
Uchaguzi wa bunge na rais umeanza asubuhi ya
leo nchini Uganda na tayari Rais Yoweri
Museveni amepiga kura yake katika kituo cha
Rwakitura huku wagombea wengine wa nafasi ya
urais pia wakipiga kura zao kwenye vituo
walikosajiliwa.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon