Uchaguzi Uganda

Baada ya kupiga kura
mgombea urais Amama Mbabazi akaandika
maneno haya kwenye Twitter: "Nimetekeleza
wajibu wangu kama raia mwema na kupiga kura
yangu katika uchaguzi huu wa urais wa mwaka
2016.
Baadaye akaongezea: "Mimi na mke wangu
Jacqueline tumemaliza kupiga kura.
Nimefahamishwa kwamba baadhi ya vituo
vilianza upigaji kura adhuhuri. Tafadhali, kuweni
na subira na mpige kura."

Previous
Next Post »

Ads Inside Post