Klabu ya Simba Sports February 1 2016 imeingia kwenye headlines na historia, baada ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Rais wa klabu hiyo Evans Avevawamezindua duka ambalo litakuwa linauza vifaa vyenye nembo ya klabu hiyo, hili ndio duka la kwanza rasmi laSimba kufunguliwa
Baada ya hapo Rais wa Simba Evans Aveva amethibitisha kufungua duka jingine la bidhaa za klabu katika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi Kariakoo siku za hivi karibunia. Simbasasa imepiga hatua moja mbele na kuiga mfano wa vilabu vya Ulaya kamaFC Barcelona ambavyo vinamiliki maduka ya bidhaa zenye nembo ya klabu yao.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon