Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaDk Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili ya January 31 Umoja wa mataifa wa Afrikawametangaza kumpatia majukumu mapya. Dk Jakaya Kikwete January 31 ameteuliwa kuwa mjumbe wa amani waLibya.
Dk Kikwete ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mr Dileita Mohamed Dileita wa Djibouti ambaye alikuwa mjumbe wa nafasi hiyo toka mwaka 2014. Kikwete ameteuliwa kuwa msuluhishi wa kutafuta amani Libyaambapo toka auwawe aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddafi mwaka 2011, hali bado sio nzuri
EmoticonEmoticon