Mgombea wa urais wa chama cha
Republican Donald Trump ameshinda katika
jimbo la Nevada nchini Marekani, na hivyobasi
kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa
kuwania tiketi ya chama hicho.
Tajiri huyo sasa ameshinda mara tatu ,kufuatia
ushindi wake katika jimbo la New Hampshire na
Carolina kusini.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon