PICHA HIZI ZA OBAMA AKIWA NA WATOTO ZAZUA GUMZO DUNIA NZIMA.. JIONEE HAPA

Rais wa Marekani, Barack Obama ni
miongoni mwa watu wanao pendwa, huu ni
uthibitisho ambao wengi wanaweza
kukubaliana nao. Katika mafanikio yake
katika siasa na ukaribu na watu umemfanya
watu wengi wawe wanampenda lakini kupitia
picha hizi akiwa na watoto zimegusa hisia
zaidi.
Obama hajawahi kuwa mtu wa kuzuia hisia
zake, Kama akifikwa na machozi basi hata
mbele za watu hutokwa na machozi, Picha
hizi zilizo wekwa mandaoni zikiwa na
hashtag #ObamaAndKids zimeonyesha hisia
zake kwa watoto.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post