Ne-Yo afunga ndoa

Staa wa muziki wa R&B Ne-Yo amefunga ndoa
na mchumba wake mwanamitindo Crystal Renay
katika tukio lililofanyika kwenye mgahawa wa
Terranea ulioko Rancho Palos Verdes, California
Jumamosi ya Feb 20 2016.
Neyo ameliambia jarida la PEOPLE “Nina shauku
kubwa ya kuwa pamoja na kuishi maisha yetu
pamoja, tutakuwa kama kawaida, zaidi ya
marafiki”.
Renay ana ujauzito wa Ne-Yo wa miezi tisa sasa
na huyu ni mtoto wa tatu wa Neyo.
Neyo ana mtoto wa kike wa miaka mitano
'Madilyn Grace' na mvulana wa miaka minne
'Mason Evan' kutoka kwenye mahusiano yake na
Monyetta Shaw.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post