Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini Ajinyonga

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini
Makumira jijini Arusha aliyejulikana kwa jina la
Jennifer Meshack mwenye umri wa miaka 26
amejinyonga baada ya kujifungua mtoto ambaye
hakutimiza siku yaani njiti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus
Sabasi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na
kusema Jennifer alijifungua Januari 29 lakini kwa
bahati mbaya mtoto wake hakutimiza muda wa
kuzaliwa,ndipo kesho yake aliamka na
kumyonyesha mtoto lakini alitoweka mpaka
alipokutwa siku iliyofuata akiwa amejinyonga juu
ya mti

Previous
Next Post »

Ads Inside Post