Muasisi wa Chama cha wananchii CUF
Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara Said
Kamtinga amefariki baada ya Kuangua
Ghafla akiwa nyumbani kwake.
Mzee Kamtinga ndiye aliyekuwa mwenyekiti
wa kwanza wa CUF katika wilaya hiyo
Star tv ilipata nafasi ya kushiriki katika
mazishi ya mwenyekiti huyo mstaafu wa
chama cha wananachii Cuf Nyumbani
kwake Wilayani Tandahimba na kuongea na
Mmoja wa Mwanae ambaye amemuelezea
baba yake kuwa alikuwa kuwa akisumbuliwa
na maradhi lakini alikuwa akitumia Dawa
mpaka hapo mauti yalipomfika.
Lakini Nao baadhi ya wanachama wa CUF
wilayani tandahimba wamesema Marehem
Mzee Kamtinga Amekuwa na mchango
mkubwa katika kuendeleza itikadi za Chama
Ingawa muda wa Uongozi wake ulipita.
Marehem Mzee Kamtunga amefariki Dunia
akiwa na umri wa zaidi ya miaka 80 na
ameacha Mjane pamoja na watoto wanne.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon