Akiwa kwenye show mjini New York
rapa 50 Cent amezidi kumdiss Meek Mill
kwa kumtumia mpenzi wake Nicki
Minaj. Pamoja na kutangaza kuwa
hatakuwa na beef na mtu ambaye
hajauza zaidi ya kopi milioni moja 50
Cent anasema
“ All you can do is run to Nicki, If a
crazy ni a at the door, banging on the door
and the ni a send his bitch first ”
Album mbili za kwanza za 50 Cent “Get
Rich or Die Tryin na The Massacre”
zimeuza zaidi ya kopi milioni moja.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon