Matokeo Ya Mechi za jana

Matokeo ni:-
Arsenal 0 - 2 Barcelona (Messi 72, 84 - pen)
Juventus 2 - 2 Bayern Munich (Dybala 63,Stefano
76 : Muller 43, Roben 55)
Barcelona yajiweka pazuri kusonga mbele kwani
inahitaji sare yoyote au kufungwa kwa tofauti
isiyozidi bao 1.
Bayern inahitaji ushindi au sare ya 0-0 au 1-1.
Je, Arsenal wataweza kugeuza matokeo katika
mchezo wa marudio? Toa maoni yako kuhusu
yaliyojiri katika mechi hizi.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post