Jinsi ya kuflash simu zenye MediaTek chipset
naamini clone zote zinatumia mtk pia nahisi
hata za tecno nazo zina hii chipset
1. anza kwa kuandaa mazingira ya kuflash simu
yako ambayo labda iko bricked, au ina tatizo
lolote kama hii yangu iliyokuwa inajirestart muda
wote
vitu unavyohitaji ni
a.) drivers za simu (kama chip yako ni MT65xx
family download hapa ) na
b.) Smart Phone flash tool download hapa
c.) Mtk Droid Tools download hapa
d.) ROM / firmware ya simu yako (hakikisha ni
rom sahihi kwa model ya simu yako) Rom
karibia zote zinapatikana hapa
2. Tuanze sasa
a.) chomeka simu yako na iache ifanye
installation ya driver zote, kama zingua install
driver hapo juu(kama simu yako ni mt65xx)
b.)kwa sababu simu za clone hazijulikani model
maana zina imitate original, basi tutatumia MTK
droid tool kujua model ya simu yetu. fungua
application na uiache italeta details zote kuhusu
simu
[IMG]
c.) tayari taarifa za simu tumezipata ,
kinachofuata hapo ni kudownload firmware
specific kwa ajili ya simu yetu. ROM/firmware
zipo hapa (ili kudownload inabidi ujisajili
kwanza) pia unaweza kugoogle utapata tu.
hakikisha una extract na ndani kuwe na faili MT
(model ya simu yako)_Android_scatter.txt
(hakikisha kuna neno scatter kwenye jina la hili
file)
d.) hapo sasa kila kitu tunacho tunaweza
kuanza kuflash simu yetu...
i. ichomoe simu, kisha fungua SP flash flash
tools, sehemu ya scatter-loading file weka lile
.txt file nililokwambia limo kwenye folder
uliloextract kule juu
pia nenda options > usb mode iwe ticked pia
hapohapo kwenye options angalia DA download
all > Speed > force high speed inakuwa checked
[IMG]
ii. click download kisha iache (usichomeke simu
kwanza mpaka imalize) ikimaliza chomeka simu
bila betri ukisikia mlio wa simu imekuwa
connected kwenye pc haraka rudisha betri
bonyeza "firmware -> upgrade" kisha tulia
itaanza kuflash simu
ii. kama kila kitu kimeenda sawa utaona
progress kwa rangi ya njano kama kuna makosa
itatokea rangi nyekundu na maelezo
[IMG]
ikikamilisha successiful, itaonesha kiduara cha
kijani
[IMG]
hapo sasa unaweza chomoa simu yako na
kuiwasha na utaona inaanza kama mpya vile....
ukipenda unaweza kuiroot, kubadili IMEI,
kuondoa application za kichina zote kwa
kutumia MTK Droid tools
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon