Fanya computer yako ikukaribishe kwa jina ulipendalo nifuate hapa
Andika hivi kwenye notepad....
create object("SAPI.SpVoice").speak "welcome Mr. Gosogoso"
Then save file lako with the extension ya .vbs
Nenda ka double click ilo saved file utasikia likisema maneno Yale ulioandika.
Ukitaka litamke wakat unawasha PC,, copy ilo file then navigate to
C:/user/username/appdata/roaming/Microsoft/windows/startup then paste ilo file APA
Then test if it works
EmoticonEmoticon