Mdee amesema kuwa kila ufisadi uliofanyika
viongozi wa serikali walikuwa wakitambua
sababu kuna muda mwingine walipokea memo
kutoka katika uongozi wa juu ya nchi.
Halima Mdee amesema hayo alipokuwa kwenye
mkutano wa hadhara na wananchi wa jimbo la
Kawe na kusema kuna wakati wakurugenzi
walikuwa wanapewa vimemo kutoka kwa Rais wa
nchi na wengine walikuwa wakipewa memo hizo
kutoka kwa mawaziri mbalimbali.
"Hakuna ufisadi ambao umefanyika kwa bahati
mbaya, hakuna ufisadi ambao umefanyika nchi
hii pasipo waziri au aliyekuwa waziri kwenye
serikali ya Chama Cha Mapinduzi kujui. Hakuna
ufisadi uliofanyika leo hii bila wakurugenzi
kupewa vimemo ama kutoka kwa Rais, au kutoka
kwa waziri wafanye maamuzi waliyofanya leo
wanajifanya wanatumbua vijipu kumbe
wanatumbua vipele, sababu wale walifanya kwa
maelekezo ya wakubwa." Alisema Halima Mdee.
Katika hatua nyingine mbunge huyo wa Kawe
amesema kuwa wao wanapozungumza leo
hawazungumzi tu kwa sababu ya Chadema na
UKAWA bali wanazungumza kwa maslahi mapana
ya watanzania walio wengi ambao maisha yao ni
magumu yaani kifupi wamepigik
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon