DANGOTE AANZA KUSAMBAZA SARUJI TANZANIA,HII NDIYO BEI YAKE

Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na
Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza
kimeanza kuzalisha kusambaza cement
Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa
waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi
ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na
watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh
13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.
Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na
wenye magari makubwa kufungua office mkoani
Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa
mkoani.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post