Operesheni maalum ya kukamata pikipiki

Operesheni maalum ya kukamata pikipiki
zinazoingia katikati ya jiji na maeneo mengine
imezua hofu kwa watumiaji wa barabara
kutokana na askari maarufu tigo kutanda maeneo
yote ya jiji tena wakiwa na silaha za moto huku
mapambano kati ya askari na madereva
bodaboda yakiwa makali.(Picha na Maktaba)

Previous
Next Post »

Ads Inside Post