:Licha ya Madereva kuaswa kuwa makini
wakati wakiendesha vyombo vya moto barabarani
hali imeendelea kuonekana tofauti ambapo gari
ya abiria ifanyayo safari zake Gongo la Mboto
Ubungo imegongana na gari ndogo Tabata
Matumbi na kusababisha fole kwa mwendo wa
dk 45,ambapo bado juhudi za kuondoa gari hizo
hazijakamilika.
Mashuhuda wanasema kuwa walichoshuhudia
hadi kutokea kwa ajali ni uharaka wa kila mmoja
wao kutaka kuwahi na kulitaka jeshi la polisi
kitengo cha usalama barabarani kukabiliana na
watu wa aina hiyo ili kuepusha ajali zisizo za
lazima.
Hakuna waliopoteza maisha wala kujeruhiwa
dhidi ya viombo hivyo vya moto.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon