WANANCHI WAFUNGA BARABARA

Wananchi waliobomolewa nyumba zao
eneo la Mkwajuni wakati wa zoezi la kubomoa
nyumba zilizojengwa mabondeni wamefunga
barabara ya Kawawa na kuchoma matairi
barabarani baada ya kutakiwa kuondoka na
vibanda vyao vya muda walivyojenga kuchomwa
moto.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post