VITA VYA MADAWA YA KULEVYA

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es
Salaam, limefanikiwa kuwanasa wafanyabiashara
wakongwe wa dawa za kulevya nchini ambao pia
wanadaiwa kufanya biashara haramu za
binadamu ambao wamekuwa wakiwasafirisha
kutoka nchini kwenda katika nchi zinazozalisha
dawa za kulevya

Previous
Next Post »

Ads Inside Post