UDUMAVU WA MWILI MBEYA

Licha ya kuwa na vyakula vingi na
matunda ya kutosha, mkoa wa Mbeya una
asilimia 50 ya watoto wenye udumavu wa mwili
na akili, hali ambayo inadaiwa kusababishwa na
mila potofu zinazohusisha malezi ya mimba na
watoto wenye umri wa chini ya miezi sita.-

Previous
Next Post »

Ads Inside Post