Jeshi la wananchi limetoa ufafanuzi kufuatia amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais John Pombe Magufuli kuvaa sare za jeshi

Jeshi la wananchi limetoa ufafanuzi
kufuatia amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na
usalama rais John Pombe Magufuli kuvaa sare
za jeshi wakati akienda kufunga zoezi la onesha
uwezo medani huko Monduli mkoani Arusha
kufuatia baadhi ya watu kuwa na tafsiri tofauti.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post