Taarifa imenifikia kutoka Visiwani Zanzibar ambako uchaguzi Mkuu ulifutwa kutokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),Jecha Salim Jecha kutangaza kuwa ulikuwa na kasoro kadhaa hivyo akatangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo.
January 22 taarifa kutoka visiwani Zanzibar ni kuwa, tume ya uchaguzi visiwani Zanzibar ZEC imetangaza kwamba marudio ya Uchaguzi huo ni Jumapili March 20 2016… ila hakuna uteuzi mpya wa wagombea wala hakutaruhusiwa kufanyika kwa Kampeni zozote
EmoticonEmoticon