Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, hii ndio list ya mastaa waliosajiliwa Uingereza Kabla ya dirisha dogo la usajili la mwezi January halijafungwa kwa vilabu vya Ulaya, January 22 imenifikia ripoti ya vilabu vya Ligi Kuu Uingereza, list ya wachezaji iliyowasajili hadi sasa katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January.
AFC Bournemouth
Juan Iturbe kutoka AS Roma kwa mkopoBenik Afobe kutoka Wolves. thamani £12.1mLewis Grabban kutoka Norwich City(ada siri)
Arsenal
Mohamed Elneny kutoka FC Basel. ada £5.5m
Everton
Matty Fouldes kutoka Bury.Shani Tarashaj kutoka GC Zurich.
Leicester City
Demarai Gray kutoka Birmingham City.
Liverpool
Marko Grujic kutoka Red Star Belgrade.Kevin Stewart kutoka Swindon Town. amerudi alipokuwa kwa mkopoTiago Ilori kutoka Aston Villaamerudi alipokuwa kwa mkopoSteven Caulker kutoka QPR kwa mkopo
Manchester United
Adnan Januzaj kutoka Borussia Dortmund. amerudishwa alikokuwa kwa mkopo
Norwich City
Matt Jarvis kutoka West Ham United.Ivo Pinto kutoka Dinamo Zagreb.Ben Godfrey kutoka York City.Timm Klose kutoka Wolfsburg.Steven Naismith kutoka Everton.
Southampton
Charlie Austin kutoka QPR.
Sunderland
Jan Kirchhoff kutoka Bayern Munich. Dame N’Doyekutoka Trabzonspor. kwa mkopo
Watford
Nordin Amrabat kutoka Malaga.Costel Pantilimon kutokaSunderland
EmoticonEmoticon