Mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari
Tanzania TAMWA Eda Sanga amesema tatizo la
ndoa na mimba za utotoni nchini bado ni kubwa
na linahitaji nguvu ya pamoja kati ya serikali na
wadau mbalimbali ili kukabiliana nalo.
Bi Sanga amesema hayo wakati wa mkutano wa
mjumuiko wa mashirika ambayo yanatetea haki
za watoto wa kike na kupinga ndoa za utotoni
ambapo amesema.
Baadhi ya washiriki wa mjumuiko huo kutoka
mikoa mbalimbali wamesema changamoto
zinazosababisha tatizo hilo kuendelea ziko nyingi
ikiwemo ugomvi wa wazazi lakini pia vyombo
dola kushindwa kutoa ushirikino kikamilifu pindi
wananchi wanapokwenda kutoa taarifa za
matukio hayo.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon