CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Zanzibar utaofanyika machi 20 mwaka huu.

Baraza kuu la uongozi la taifa la chama cha
wananchi CUF, kwa kauli moja limeridhia
kutokushiriki uchaguzi mkuu wa Zanzibar huku
likisisitiza kuwa mamauzi ya kufutwa kwa
uchaguzi mkuu wa Oct 25 mwaka jana yalikuwa
batili.
Mapema jan 28, baada ya baraza kuu la uongozi
la CUF kutumia saa 4, kujadili agenda moja tu ya
kushiriki au kutokushiriki katika uchaguzi wa
mach 20 mwaka huu, makamo mwenyekiti wa
CUF taifa akatanagza maadhimio kadhaa ya
kikao hicho.
Miongoni mwa maazimio hayo 12 ya kikao hicho
ni pamoja na ukiukwaji wa katiba ya Zanzibar na
sheria ya uchaguzi namba 11 ya mwaka1984,
huku katibu mkuu wa CUF akishutumu kile
alichokiita ni mbinu chafu za kuchafua daktari la
wapiga kura mjini Zanzibar.
Aidha tamko hilo limezitaja jumuiya za SADC,
EAC, AU, umoja wa Ulaya, jumuiya ya madola na
nchi za Uingereza na Marekani ambazo amezitaja
kuunga mkono uchaguzi wa Oct 25 mwaka jana,
huku likiitaka serikali kutaafkari upya uamuzi
wake wa kuitisha uchaguzi mpya mwezi march.
Haya yanajili baada ya tamko la mwenyekiti wa
tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha
kutangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar
mapema Oct 28, huku tarehe ya uchaguzi huo wa
marudio ikitajwa kufanyika mapema

Previous
Next Post »

Ads Inside Post