Maandamano BongoSoftware 20:36:00 BongoSoftware Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Masanga katika manispaa ya Kigoma ujiji wameandamana wakilalamikia majina yao kuondolewa katika mpango wa kusaidia kaya maskini nchini TASAF hali iliyolazimu maafisa wa TASAF kuingilia kati. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon