Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezindua kitabu kinachoitwa “Julius Nyerere

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezindua
kitabu kinachoitwa “Julius Nyerere: Asante Sana,
Thank You”, ameliasa Bara la Afrika kumuenzi
Mwalimu Nyerere.
-Amesema Mwalimu Nyerere alitoa mchango
mkubwa katika Ukombozi, Umoja na Maendeleo
ya Bara la Afrika

Previous
Next Post »

Ads Inside Post