RAIA WA UJERUMANI AKAMATWA

Raia wa Ujerumani akiwa mikononi mwa
polisi kwa tuhuma za kutaka kuitoroka familia
yake ktk Hoteli moja jijini Dsm baada ya
kutoelewana na mke wake mwenye asili ya
Afrika. Raia huyo alikuwa nchini kwa mapumziko
ya mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka
mkewe akimwachia deni la hoteli la sh. 315,000.
Kama mwanaume, hili unalichukuliaje?

Previous
Next Post »

Ads Inside Post