una taarifa imenifikia leo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa kuhusu ishu mbili, kwanza kuhusu oparesheni ya kukamata wahamiaji haramu na pia ishu ya agizo la kupiga marufuku mavazi ya vimini.
Majibu yaliyotolewa leo ni kwamba Serikali inahimiza watu kuvaa mavazi ya heshima lakini Rais Magufulihajapiga marufuku mavazi ya aina yoyote ikiwemo sketi fupi.
Kwa upande wa wafanyabiashara wageni, Serikali imesema kuna oparesheni ya kawaida ya kukamata wahamiaji haramu wasio na vibali, hiyo haihusiani na wala haimaanishi kuwafukuza wafanyabiashara wageni
EmoticonEmoticon