AJALI NYUMBA ZA TEMBE

Watoto wawili wa familia moja wamekufa na
wengine watatu kujeruhiwa mkoani Singida
baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba ya
udongo maarufu kama tembe walimokuwa
wamelala.
Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kipondoda
Wilaya ya Manyoni mkoani humo na
kusababisha vifo vya Amina Ashery (9)
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule
ya msingi Tambuka Reli na mdogo wake
Emiliana Ashery (3).

Previous
Next Post »

Ads Inside Post