Kabla ya kuanza inabidi kua na yafuatayo.
1) uelewa wa kompyuta hata kama ni kidogo.
Huo huo unatosha
2) Memory card yenyewe iliocorrupt
3)windows computer.
4) Glasi ya maji au kajuisi si mbaya {#JOKE}
Okay baada ya kudaka hayo hapo juu naomba
tuanze kama ifuatavyo.
Bonyeza kidirisha kinachoitwa windows katika
kompyuta yako. andika neno "cmd" na hit enter
Unapaswa kuona kitu kinachoitwa "cmd. Exe"
hapo fanya kuright click na uchague "run as
administrator"
hii itafungua window feauture iitwayo
command prompt ambayo ina uwezo mkubwa
wa kufanya mambo mengi ila kubwa zaidi kufix
memory card yetu.
kitakachofunguka kitafanana hivi.
Now kabla ya kuanza hakiki kua disc yako
haina wright protection yeyote otherwise
haitasoma if else, lets goooo
baada ya hapo chomeka memory yako
kwenye pc euther kwa kutumia card reader, ama
modem ama any possible means iliopo. then
fungua my computer, angalia removable disks
zilizopo na soma herufi ya memory card yako.
tutaiihitaji badae.
kwangu mimi yangu inaonyesha H kama
unavoona, yako yaweza kua tofauti, isikupe
shida
Now fungua command {CMD} na uandike
maneno haya chkdisk ikifatiwa na card drive
yako alafu /f inatakiwa kua hivi
chkdisk h: /f
baada ya kuandika hayo hit enter na acha
computer sasa ifanye mbwembwe zake. hii
inaeza chukua muda kuendana na ukubwa wa
CARD na mafaili yanayobebwa ikimalizika
utaona kitu kinafanana hivi.
Hio ni kwa sababu memory yangu haina
shida kama yako ina shida tumia code hii
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon