skari Polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia
FFU ) mkoani Mwanza wamelazimika kutumia abomu ya machozi kuwatawanya wakazi wa taa wa Mwananchi - Susuni kata ya Mahina jini humo baada ya kufunga barabara kuu ya mwanza – Musoma kwa kuweka vizuizi vya awe kufuatia mwanafunzi wa darasa la tatu atika shule ya St. Angeline Mase Magabe hacha kugongwa na daladala wakati akienda huleni.
ukio la kufunga barabara hiyo limetokea jana ajira ya saa 12 jioni ambapo ITV ilishuhudia akazi wa mtaa huo wengi wao wakiwa ni ijana, wakiwa katika hekaheka ya kupanga awe makubwa barabarani huku wengine akijaribu kuyaponda kwa mawe magari mbayo yalitaka kutumia barabara hiyo, jambo lilowalazimu baadhi ya madereva ambao alikuwa wakielekea nyakato na igoma kuamua utumia barabara ya Makongoro – Nyasaka na utokea Buzuruga.
wenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwananchi
Susuni, Misarambo Elisamia amemuomba eneja wa wakala wa barabara ( TANROADS ) koani mwanza kujenga tuta au kuweka alama a pundamilia ili kuokoa maisha ya watumiaji a barabara hiyo.
akazi wa mtaa wa Susuni kata ya mahina,kilio hao ni ajali za mara kwa mara zinazotokea atika barabara hiyo na kupoteza maisha ya atu.
i. Pili Mase ni mama mzazi wa marehemu ase magabe chacha aliyekuwa na umri wa iaka kumi, ambaye alifia katika hospitali ya ufaa Bugando wakati akipatiwa matibabu aada ya kugongwa na HIACE iliyokuwa ikitoka oma kuelekea mjini,masikitiko yake ni uhusiana na huduma duni za matibabu katika ospitali hiyo.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon