Chadema yasikitishwa na sarakasi za umeya wa jiji la Dar es Salaam zinazoendelea.

ongozi wa juu wa chama cha democrasia na aendeleo CHADEMA umeelezea masikitiko ake juu ya kile kinachoendelea kuhusu ivutano ya ni lini uchaguzi huru na wa haki wa umpata meya wa jiji la Dar es Salaam tafanyika huku ukisema unajipanga kimkakati uona namna ya kumpata meya huyo.
asikitiko hayo yamo kwenye maazimio kadhaa a kamati kuu ya chama hicho iliyokuwa ikijadili ali ya mwenendo wa kisiasa nchini baada ya chaguzi ikiwa ni pamoja na hali ilivyo kuelekea ach 20 kule visiwani Zanzibar,huku ikikosoa ali ya utawala bora nchini kwa sasa.
uhusu hali ya mambo inavyoendelea ya umpata Meya wa jiji la Dar es Salaam mesema hawata kuwa tayari kuona wakipigwa anadana na chama tawala kwani ni dhahili kidi wameishilikia wao.
atika hatua nyingine ya kuzidi kujimarisha kwa hama hicho cha upinzania nchini, kamati kuu ia imeadhimia kuufanya mkoa wa Dar es alaam kuwa wa kimkakati zaidi kwa kuupa jina
Dar es Salaam kuu baada ya kifungu namba
na 7 cha katiba ya chama hicho kuipa nguvu amati kuu kufanya hivyo huku uongozi wa imikoa ndani ya jiji ikibaki kama ilivyo.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post