Watu takribani bilioni moja duniani
wanakabiliwa na hatari ya kupata
matatizo ya kusikia au hata kupoteza
uwezo wa kusikia kutokana na athari
za kelele au sauti kubwa, kwa mujibu
wa utafiti uliofanywa na shirika la afya
ulimwenguni-WHO.
Uchunguzi unaonesha kuwa magogjwa
ya masikio yanazidi kuongezeka
miongoni mwa jamii hasa watu
wanaotumia vifaa vya kuvaa
masikioni-ear phone ili kusikiliza
muziki kwa sauti ya juu.
Mwandishi wa Sauti ya Amerika-VOA,
Josephat Kioko alitembelea maeneo
kadhaa katika mji wa Mombasa
kusikiza kiwango cha kelele akiwa
ndani ya mabasi madogo yanayotoa
huduma za abiria ndani ya mji katika
eneo moja hadi jingine maarufu kama
matatu nchini Kenya.
EmoticonEmoticon