Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema
agizo lilitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli la
kuwataka mawaziri ambao hawajajaza Tamko la
Rasilimali na Madeni wakamilishe kabla ya saa
12 leo jioni limetekelezwa.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post