UCHAGUZI ZANZIBAR

Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF,
kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo
ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za
kupigia kura zenye kuonesha jina la
mgombea wake wa urais pamoja na baraza
la wawakilishi kwa lengo la kugomea
uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika
Machi 20 visiwani humo. Una maoni gani?

Previous
Next Post »

Ads Inside Post