Kijana wa Kitanzania Desmond Andrew
ameanzisha kampuni ya Mawasiliano ya CW Net
ambayo inatengeneza Power Bank, Smart
Bracelet na Modem. Hakika Tanzania kuna
vijana wengi kama Desmond Andrew lakini tatizo
kubwa linalowakabili ni upatikanaji wa mtaji wa
kuendeleaza vipaji vyao.
Mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya
Mawasiliano ya CW Net akimtoa
ufafanuzi Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF , Geoffrey
Simbeye (aliyevaa suti) kuhusu Smart Bracelet
na kazi zake katika maonesho yaliyoandaliwa na
shirika la Viwango nchini Tanzania(TBS)
yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani
Cityjijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF , Geoffrey Simbeye
(aliyevaa suti) akiuliza swali mara
alipotembelea banda la CW Net maonesho ya
Makampuni ya Kitanzania yanayotoa bidhaa
yenye viwango vya kutosha hapa nchini.
Smart Bracelet hiki ni kifaa mojawapo
kinachotengenezwa na kampuni ya Mawasiliano
ya CW Net ambacho kifaa hicho kinahesabu
hatua ambazo mtu ametembea nani kwa kiasi
gani nguvu uliyoitumia pamoja na kukontrol
muda unaolala na unaoamka, pia pia kifaa hicho
kinaweza kuunganishwa na simu ya smartphone
yako na kutambua simu ikiwa inaita kwa umbali
wa mita kumi(10)
Hakika penda cha nyumbani
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon