Chambuso akiri kosa la Yamoto, Salam TZ kufanana

Chambuso amekiri kuwa, wao kama wasimamizi,
akiwepo pia Temba, Fella na Salam wameiona
changamoto hiyo kubwa, na wanajaribu kuifanyia
kazi ili kuleta ladha na bidhaa tofauti kwa
wapenzi wa burudani.
Chambuso pia ameeleza kuwa, lengo la
kutambullisha kundi hilo jipya ni kutoa fursa zaidi
kwa kundi kubwa la vijana waimbaji kutoka
Mkubwa na Wanawe ambao wanazidi 40, na
hawana mpango wa kuiua wala kuiletea
ushindani Yamoto Band.
Chambuso pia amesema kuwa, kundi hilo la
Salam linafanya muziki wake kwa kupita njia zile
zile za Yamoto Band kutokana na kuwa
wanafundishwa muziki na vijana machachari wa
Yamoto Band.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post