VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA JAN 21

Ofisi ya Bunge imetangaza kuanza kwa vikao vya
kamati za Bunge la 11 Januari 21 mwaka huu,
huku kamati mbili zikiongezwa na nyingine
kufanyiwa marekebisho ya kimuundo ili ziendane
na mabadiliko ya muundo wa wizara za serikali
ya awamu ya tano.
Kamati mbili mpya zilizoundwa ni kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo na kamati ya
kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya
Umma.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post