GAZETI LA MAWIO LAFUNGIWA

WAZIRI wa habari, sanaa, michezo
na utamaduni Nape Nnauye
amelifungia gazeti maarufu la habari
za uchunguzi la mawio kuanzia leo
ambapo pia amesimamisha shughuli
zote zilizokuwa zinafanywa na
gazeti hilo ikiwemo kuchapisha na
kusambaza kopi zake. Pia amesitisha
shughuli za Usambazaji wa
Machapisho yake kwa njia ya
Mtandaoni.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post