UPUNGUFU WA WALIMU WILAYA YA MBINGA

Wananchi katika tarafa ya Mkumbi
wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wamelalamikia
upungufu wa walimu katika shule zao ambapo
katika shule ya msingi Luwino yenye wanafunzi
mia mbili ina mwalimu mmoja tu huku katika
shule ya msingi Longa yenye wanafunzi zaidi ya
mia sita ikiwa na walimu watano.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post