TAASISI YA KUPAMBANA NA RUSHWA YA AGIZWA

Serikali imeliagiza jeshi la polisi na
taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa
kuwakamata, kuwahoji na kuwafikisha
mahakamani viongozi na watendaji wote hata
kama wamestaafu madaraka yao, walio husika
kutoa shamba la ukubwa wa zaidi ya hekari
3,500, katika kijiji cha Mlilingwa kata ya
Tununguo tarafa ya Ngerengere wilayani
Morogoro, kwa mwekezaji toka kampuni ya
Oxford Trading L.T.D kinyume na taratibu na kwa
kugushi nyaraka.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post