TRA wameamua kazi, makusanyo ya kodi January 2016 yanasomeka hivi

Kwenye ahadi kubwa za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na RaisMagufuli ziko na hizi mbili kubwa >>>kupambana na ubadhirifu pamoja na ukusanyaji wa mapato.

Kazi ya kukusanya Mapato ilikabidhiwa kwa mikono miwili kwa Mamlaka ya Mapato TRA, nao wamekuja na matunda ya kazi yao kwa mweziJanuary 2016… ripoti iliyotolewa leoJanuary 30 2016 ni kwamba Mamlaka hiyo imefanikiwa kuandika rekodi nzuri ya kukusanya mapato ya kodi zaidi ya trilioni 1.

Mgawanyo wa mapato hayo utaenda kuboresha maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye elimu ambayo inatolewa bure pamoja na huduma za afya.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post