Njia hii itazuia marafiki kuweza kujua kama
umesoma meseji zao. Kumbuka katika
mtadao wa WhatsApp kama ukiseti akaunti
yako kutoweza kutumia tiki za blu basi hiyo ni
kwa meseji unazotuma na zile unazotumiwa
zote hazitakuwa na tiki ya blu.
Kuna njia rahisi ya kusoma meseji bila kuzima
uwepo wa tiki ya blu. Usomaji huo kwa upande
mwingine hautatoa tiki ya blu katika ujumbe
utakaosoma.
Ulishawahi mkwepa mtu katika mtandao wa
WhatsApp lakini ungependa kusoma
alichotuma? japokuwa tiki hizo za blu
zinafanya zoezi lionekane gumu lakini kuna
njia rahisi kabisa za kukabiliana nalo
NJIA
1. pindi utakapopokea meseji usiifungue
na unaweza kufunga
‘Notification’ yoyote itakayojitokeza.
2. Fungua ‘Airplae Mode’ ambayo itazuia
matumizi ya WiFi, Data na Kuzuia
Meseji nyingine kuingia
3. Hapo sasa, fungua WhatsApp kusoma
meseji yako kikamilifu
4. Funga WhatsApp kabisa na kisha toa
Airplane mode. Licha ya kuwa
umeisoma meseji hiyo lakini tiki za blu
hazitatokea.
Tiki Za WhatsApp Na Maana Zake
Hongera umeweza kusoma meseji bila mtu
aliyekutumia kujua kama umeisoma. Njia hii ni
nzuri sana kwani itakusaidia kusoma ujumbe
kwa mtu ambae kwa upande mwingine ulikuwa
huna haja ya kumjibu kabisa.
Usipowajibu watu wanajisikia vibaya sio, tena
haswa pale wanapokuwa na ushahidi kuwa
umesoma meseji zao.
Kama njia hii unaiona ngumu unaweza kubofya
Hapa ili kuona njia nyingine
Tuandikie sehemu ya comment njia hii
unaionaje na usishau kutembele Blog hii kila siku kwa
habari na Technology
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon