MLIPUKO WA MABOMU MAIDUGURI NIGERIA

Watu zaidi ya 69 wameuawa kwenye milipuko ya
mabomu katika mji wa Maiduguri, kaskazini
mashariki mwa Nigeria.
Msemaji wa kundi la kupamabana na
ugaidi,Mustapha Ankas, amesema kuwa mauaji
hayo yalisababishwa na kundi la Boko Haram
ambalo lilianza na kufyatua risasi na baadaye
wakatumia washambuliaji watatu wa kike wa
kujitoa mhanga kufanya mashambulizi katika
maeneo ya Dalori na Walori.
Kundi hilo limekuwa likitaka kutekeleza uongozi
wa Kiislamu kwa kutumia sharia maeneo ya
kaskazini mashariki.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post