KIPINDU PINDU DODOMA

:Serikali imefunga minada na magulio
yote yanayojihusisha na biashara ya vyakula na
vinywaji katika manispaa ya Dodoma kufuatia
kulipuka upya kwa ugonjwa wa kipindupindu huku
baadhi ya wafanyabishara waliopo kwenye
mnada maarufu wa Mslato wakionyesha
kutoridhishwa kwa hatua hiyo kwa madai kuwa
eneo hilo ndilo wanalotegemea kuendesha
maisha yao ya kila siku.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post